AINA ZA UMILIKI WA BIASHARA

AINA ZA UMILIKI WA BIASHARA

Created On: 17 Dec 2025
KES 100
Description

Je, ungependa kuingia kwenye biashara ya cook stoves lakini hujui uanze vipi? Katika kipindi hiki, tunachambua aina mbalimbali za umiliki wa biashara ya cook stoves- kuanzia umiliki binafsi, ubia, vikundi vya wanawake na vijana, hadi franchises na ushirika. Jifunze faida, changamoto, na ni modeli ipi inafaa mtaji na soko lako. Sikiliza upate mwongozo wa vitendo wa kujenga biashara endelevu ya nishati safi.

More On CLEAN ENERGY